Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumamosi kutoka Kijiweni ambapo tunainza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Wolves – Coventry

Both teams to score: (YES)

 

Mallorca – Granada CF

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Udinese – Torino

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Din. Minsk – Smorgon

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Darmstadt – Bayern Munich

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Ipswich – Sheffield Wed

Ipswich Win

 

Larne – Glenavon

Larne Win

 

Linfield – Newry City

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Loughgall – Cliftonville

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Osasuna – Real Madrid

Real Madrid Win

 

Fulham – Tottenham

Total: (Over 2.5)

 

Hoffenheim – Stuttgart

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Manchester City – Newcastle

Manchester City Win

 

Sittard – Zwolle

Total: (Over 2.5)

 

Guingamp – Valenciennes

Guingamp Win

 

Frosinone – Lazio

Double Chance: (X2)

 

Anderlecht – Kortrijk

Anderlecht Win

 

Dender – St. Liege U23

Dender Win

 

Ath Bilbao – Alaves

Ath Bilbao total: (Over 1.5)

 

FC Porto – Vizela

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version