Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumamosi kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

Hamburger SV – Kaiserslautern

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Crystal Palace – Manchester City

Manchester City Win

 

Norwich – Ipswich

Both teams to score: (YES)

 

AC Milan – Lecce

AC Milan Win

 

Karvina – Plzen

Plzen Win

 

St Etienne – Concarneau

St Etienne Win

 

Freiburg – RB Leipzig

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Heidenheim – Bayern Munich

Bayern Munich Win

 

Mainz – Darmstadt

Mainz Win

 

Union Berlin – Bayer Leverkusen

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Aston Villa – Brentford

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

Everton – Burnley

Double Chance: (1X)

 

Fulham – Newcastle

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Leicester – Birmingham

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Lens – Le Havre

Lens Win

 

Austria Vienna – A. Lustenau

Austria Vienna Win

 

Brighton – Arsenal

DC (X2 &Yes)

 

Lommel SK – Seraing

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Karlsruher SC – St. Pauli

DC & BTS: (12 & YES)

 

PSG – Clermont

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Gremio – Juventude

Gremio Win

 

Sporting CP – Benfica

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version