Wikiendi si ndo hii hapa? Mechi kibaaooooo mwekezaji.Tunaifungua wikiendi  ya kwanza ya mwezi wa 2 kutoka Kijiweni kwa kuutazama mkeka wa leo wenye mechi zaidi ya 13 kutoka ligi mbalimbali duniani bila kusahau hatua ya Robo Fainali ya AFCON. Kumbuka kuupitia na kuusuka upya kwa kutazama namna ambavyo wewe unaona ni sahihi kwako ili kushinda kwa namna nyingine pia.

 

Gnistan – HJK

HJK Win

 

Everton – Tottenham

1st Half: (Under 1.5)

 

Valencia – Almeria

Valencia Win

 

Bayern Munich – B. Monchengladbach

Home to Win Both Halves? (YES)

 

Freiburg – Stuttgart

GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)

 

Darmstadt – Bayer Leverkusen

Bayer Leverkusen Win

 

Brighton – Crystal Palace

Brighton Win

 

Newcastle – Luton

(1 & Over 1.5)

 

17:0003/02/2024

West Brom – Birmingham

(1 & GG)

 

Stoke – Leicester

Both teams to score: (YES)

 

Peterborough – Wigan

Peterborough Win

 

Twente – Waalwijk

HT/FT: (1/1)

 

Rennes – Montpellier

Double Chance: (1X)

 

Frosinone – AC Milan

Double Chance: (X2)

 

Sheffield Utd – Aston Villa

Total: (Over 2.5)

 

Famalicao – Sporting CP

Sporting CP Win

 

Nantes – Lens

1st Half: (Under 1.5)

 

Girona – Real Sociedad

1st Half: (Under 1.5)

 

FC Porto – Rio Ave

HT/FT: (1/1)

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumamosi na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ukibeti hivi robo fainali una uhakika wa kushinda.

Leave A Reply


Exit mobile version