Tunaianza wikiendi mapema na mkeka wa leo ijumaa ijumaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 200 na timu 11 kutoka ligi mbalimbali duniani ikiwemo ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga. Kumbuka kuupitia mkeka huu na kupunguza au kuongeza vile ambavyo unaona wewe inafaa ili uweze kushinda na kuianza wiki yako na pesa ya kula bata.

 

CR Belouizdad – US Souf

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Hamburger SV – Hannover

DC & BTS: (12 & YES)

 

Viktoria Koln – Dortmund II

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

Red Star – Martigues

Red Star Win

 

Sion – Baden

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Dortmund – Freiburg

DC & BTS: (12 & YES)

 

Salernitana – Empoli

Goal Bands 2-4: (Yes)

 

St. Truiden – Kortrijk

1st half – Double Chance: (1 or 2)

 

Larne – Loughgall

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Marseille – Metz

Marseille Win

 

Cadiz CF – Betis

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Ijumaa  na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

 

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Magoli Zaidi Ya 4 Katika Mechi Moja

Leave A Reply


Exit mobile version