Tunaifunga wiki ya kwanza ya mwezi wa 2 kutoka Kijiweni kwa kuutazama mkeka wa leo wenye mechi 12 kutoka ligi mbalimbali duniani bila kusahau hatua ya Robo Fainali ya AFCON. Kumbuka kuupitia na kuusuka upya kwa kutazama namna ambavyo wewe unaona ni sahihi kwako ili kushinda kwa namna nyingine pia.

 

Nigeria – Angola

Double Chance: (X2)

 

Samsunspor – Galatasaray

(2 & GG)

 

Nancy – Cholet

Nancy Win

 

Venlo – Jong PSV

(1 & Over 1.5)

 

Willem II – Cambuur

GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)

 

Thun – Stade Nyonnais

1st Half First Team to score: (1)

 

Heidenheim – Dortmund

Total: (Over 2.5)

 

Lecce – Fiorentina

Double Chance: (X2)

 

D.R. Congo – Guinea

D.R. Congo Win

 

Strasbourg – PSG

PSG Win

 

Ath Bilbao – Mallorca

Ath Bilbao Win

 

Bristol City – Leeds

(2 & GG)

Bila shaka umeziona mechi zote 12 ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Ijumaa na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ukibeti Hivi Robo Fainali AFCON Una Uhakika Wa Kushinda

 

Leave A Reply


Exit mobile version