Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunainza wikiendi na timu hizi kutoka ligi mbalimmbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Red Star – Le Mans

Red Star Win

 

Utrecht – Heracles

Utrecht Win

 

Den Haag – Maastricht

Den Haag Win

 

Groningen – Helmond

Groningen Win

 

Bayer Leverkusen – Mainz

Bayer Leverkusen total: (Over 1.5)

 

Bologna – Verona

Double Chance: (1X)

 

Charleroi – Genk

Goal Bands 2-4: (Yes)

 

 

Shelbourne – Shamrock Rovers

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Kerry – Bray

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Metz – Lyon

Double Chance: (X2)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Timu Za Kuziepuka Ukiwa Unasuka Mkeka

Leave A Reply


Exit mobile version