Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunainza wikiendi na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Shandong Taishan – Changchun Yatai

Shandong Taishan Win

 

Kawasaki Frontale – Iwata

Iwata Win

 

Shanghai Port – Wuhan Three Towns

Shanghai Port Win

 

Cherno More – Botev Vratsa

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Sandhausen – Freiburg II

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Waregem – St. Liege U23

Waregem Win

 

De Graafschap – Oss

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Den Haag – Jong Ajax

Den Haag Win

 

NAC Breda – Jong Utrecht

NAC Breda Win

 

FC Emmen – Willem II

Both teams to score: (YES)

 

Freiburg – Bayern Munich

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Derry City – St. Patricks

Derry City Win

 

Cork City – UC Dublin

Cork City Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini maana ya GG, over/under 0.5 and over/under 1.5 kwenye kubashiri mpira wa miguu

Leave A Reply


Exit mobile version