Karibu sana kwenye mkeka wa leo kutoka Kijiweni ambapo tunaingia wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.
Ried – Amstetten
Ried Win
St. Pauli – Hansa Rostock
1X2 & Total: (1 & Over 1.5)
Kolding IF – Sonderjyske
DC & BTS: (X2 & YES)
Hillerod – Naestved
Total: (Over 2.5)
Arminia Bielefeld – Lubeck
Total: (Over 2.5)
Finn Harps – Cork City
Double Chance: (X2)
Adana Demirspor – Galatasaray
DC & BTS: (X2 & YES)
Chateauroux – Epinal
Chateauroux Win
Jong Ajax – Roda
BTS & Total: (Yes & Over 2.5)
De Graafschap – Maastricht
1X2 & Total: (1 & Over 1.5)
Al Ittihad – Al Shabab
1st half – Double Chance: (1 or 2)
Bray – Kerry
DC & BTS: (1X & YES)
Airdrieonians – Dundee Utd
Total: (Over 2.5)
Montpellier – Nantes
1st Half Total: (UNDER 1.5)
QPR – Leeds
Leeds total: (Over 1.5)
Shamrock Rovers – Galway
Shamrock Rovers Win
Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata
Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.
SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya “Draw No Bet” Katika Betting?
6 Comments
Leo tutakiwasha sana
Acha tupime upepo
Mbna ligi ya England mjaweka
mbona laliga hamjaweka
Hapa Lazima Mhindi afe, Kama naziona WIN nyingi hivi #winwith_sokakijiweni
💰💰🏃🏃
Tunatembea na Kijiweni daima=Mtaa unaongea
Kijiwen tuishi.kiboss weekend hii na keka la weekend