Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wikiendi na timu hizi za mataifa mbalimbali ambapo ni mechi za mapema kabisa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Adelaide Comets – Para

Adelaide Comets Win

 

Adelaide City – FK Beograd

Adelaide City Win

 

Belarus U21 – Greece U21

Greece U21 Win

 

Azerbaijan U21 – England U21

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Charlton U21 – Colchester U21

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Montenegro U21 – Armenia U21

Montenegro U21 Win

 

Germany U21 – Kosovo U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Italy U21 – Latvia U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Wales U21 – Lithuania U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Luxembourg U21 – Serbia U21

Serbia U21 Win

Sunderland U21 – Leicester U21

Sunderland U21 Win

 

Middlesbrough U21 – Newcastle Utd U21

DC & BTS: (1X & YES)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

Unaweza kupitia zaidi kuhusu dondoo na jinsi ya kujifunza kubashiri kwa kupitia kwenye CHUO CHA KUBETI kwa kugusa hapa

SOMA ZAIDI; Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version