Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunainza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Slavia Mozyr – Dnepr Mogilev

Slavia Mozyr Win

 

Osijek – Varazdin

Total: (Over 1.5)

 

Grazer AK – Lafnitz

Grazer AK Win

 

Ajman – Al Ain

Al Ain Win

 

Den Bosch – Willem II

Total: (Over 2.5)

 

FC Koln – RB Leipzig

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Galway – Shamrock Rovers

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Dunfermline – Dundee Utd

Dundee Utd Win

 

Toulouse – Lyon

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Real Sociedad – Cadiz CF

Real Sociedad Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Za Kuziepuka Wakati Wa Betting

Leave A Reply


Exit mobile version