Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

Botev Plovdiv – Botev Vratsa

Botev Plovdiv Win

 

Haka – Ekenas

Total: (Over 2.5)

 

Inter Turku – AC Oulu

Double Chance: (1X)

 

CSKA Sofia – Pirin Blagoevgrad

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

LASK – Salzburg

Both teams to score: (YES)

 

Willem II – Jong AZ

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Den Haag – Helmond

Den Haag Win

 

Augsburg – Union Berlin

Total: (Over 2.5)

 

Pogon Szczecin – Ruch Chorzow

Pogon Szczecin Win

 

Lazio – Salernitana

Lazio Win

 

Metz – Lens

Double Chance: (X2)

 

Shamrock Rovers – Sligo Rovers

Shamrock Rovers Win

 

Gil Vicente – Sporting CP

Sporting CP Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Handicap Katika Betting?

 

 

2 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version