Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wiki na timu hizi za mataifa mbalimbali bila kusahau zile mechi za klabu ambapo ni mechi za mapema kabisa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

Rudes – Osijek

Osijek Win

 

Cracovia – LKS Lodz

Cracovia Win

 

Kapfenberg – Ried

Ried Win

 

Le Mans – Avranches

Le Mans Win

 

Beveren – Anderlecht U23

Beveren Win

 

Eintracht Frankfurt – Werder Bremen

Total: (Over 2.5)

 

Arka Gdynia – Chrobry Glogow

Arka Gdynia Win

 

Lille – Marseille

Goal Bands 2-4: (Yes)

 

Pyramids – El Gaish

Pyramids Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

7 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version