Karibu sana kwenye mkeka wa leo Alhamisi kutoka Kijiweni ambapo tunaiendeleza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

Georgia – Luxembourg

DC & BTS: (1X & YES)

 

Portugal U21 – Faroe Islands U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Belgium U21 – Malta U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Scotland U21 – Kazakhstan U21

Scotland U21 Win

 

Greece – Kazakhstan

Greece Win

 

Poland – Estonia

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Wales – Finland

Total: (Over 2.5)

 

Gibraltar – Lithuania

Lithuania Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

Unaweza kupitia zaidi kuhusu dondoo na jinsi ya kujifunza kubashiri kwa kupitia kwenye CHUO CHA KUBETI kwa kugusa hapa

 

SOMA ZAIDI; Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version