Karibu sana kwenye mkeka wa leo wenye timu 8 zikiwemo zile za ligi ya Europa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Maribor – Bravo

Maribor Win

 

Freiburg – Lens

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Bodo/Glimt – Ajax

Both teams to score: (YES)

 

  1. Zagreb – Betis

Double Chance: (X2)

 

Torino – Lazio

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Marseille – Shakhtar Donetsk

Marseille Win

 

Sporting CP – Young Boys

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Eintracht Frankfurt – Royale Union SG

Total: (Over 2.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Timu Za Kuziepuka Ukiwa Unasuka Mikeka

Leave A Reply


Exit mobile version