Karibu sana kwenye mkeka wa leo Alhamis kutoka Kijiweni ambapo tunainza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

FK Zorya Luhansk – Minaj

FK Zorya Luhansk Win

 

Veres-Rivne – Dyn. Kyiv

Dyn. Kyiv Win

 

Al Nassr – Al Raed

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

AS Roma – Brighton

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Qarabag – Bayer Leverkusen

Bayer Leverkusen Win

 

Sparta Prague – Liverpool

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Ajax – Aston Villa

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Olympiacos Piraeus – Maccabi Tel Aviv

Olympiacos Piraeus Win

 

AC Milan – Slavia Prague

AC Milan Win

 

Benfica – Rangers

Total: (Over 2.5)

Freiburg – West Ham

1st Half Multi Goals: (1 – 2)

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya “To Win Both Halves”na “Goal in Both Halves”

Leave A Reply


Exit mobile version