Karibu sana kwenye mkeka wa hii leo Alhamis wenye odds zaidi ya 100 na timu 12 kutoka ligi mbalimbali bila kusahau michuano ya mabingwa barani Ulaya yaani Uefa Europa League. Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lkini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi.

Galatasaray – Sparta Prague

Galatasaray Win

 

Feyenoord – AS Roma

1st half – Double Chance: (1 or 2)

 

Young Boys – Sporting CP

DC & BTS: (X2 & YES)

 

AC Milan – Rennes

AC Milan Win

 

Benfica – Toulouse

Benfica Win

 

Braga – Qarabag

Braga Win

 

Lens – Freiburg

Double Chance: (1X)

 

Ajax – Bodo/Glimt

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Betis – D. Zagreb

Betis Win

 

Servette – Ludogorets

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Alhamis na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Hii Hapa Mbinu Rahisi Ya Kucheza AVIATOR Na Kushinda

Leave A Reply


Exit mobile version