Wawekezaji mko poa? Karibu sana tuutazame mkeka wa leo wenye odds chache tu ambazo ni 36 wenye timu mbalimbali kutoka ligi kubwa duniani bila kusahau zile mechi za mapema kabisa kwa siku ya leo, unaweza kupitia mkeka huu na kuurekebisha au kuongezea timu kwa vile ambavyo unaona itakua vyema kwako wewe kumpiga mipesa mhindi na kuianza wikiendi mapemaaaa kabisa.

South Melbourne – Melbourne Knights

Total: (Over 2.5)

 

Genclerbirligi – Trabzonspor

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Vitoria Guimaraes – Gil Vicente

Vitoria Guimaraes Win

 

Oostende – Antwerp

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Vizela – Benfica

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Alhamis na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Jinsi Ya Kubetia Kwenye Kona Na Ushinde

Leave A Reply


Exit mobile version