Baada ya kuifunga January na mkeka wenye odds zaidi ya 100 sasa tuifungue February 1, 2024, na mkeka wa leo wenye odds 24 za timu 8 kutoka ligi mbalimbali duniani. Kumbuka kuupitia mkeka huu na kutazama vile ambavyo unaweza kuusuka upya ili kuweza kumpiga mhindi.

 

Hyderabad – Goa

Goa Win

 

West Ham – Bournemouth

West Ham total: (Over 1.5)

 

Lausanne Ouchy – Luzern

Double chance. 1st half (1 or 2)

 

KV Mechelen – Anderlecht

Total: (Over 1.5)

 

St. Truiden – Gent

1st Half: (Over 0.5)

 

Getafe – Real Madrid

1st half: both to score: (NO)

 

Wolves – Manchester Utd

First 10 Minutes: (X)

 

Boca Juniors – Sarmiento Junin

Boca Juniors Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote 11 ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo jumatano na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Kufungana GG 2024

1 Comment

Leave A Reply


Exit mobile version