Karibu sana kwenye mkeka wa leo Alhamis kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wiki na timu hizi za mataifa mbalimbali bila kusahau zile mechi za klabu ambapo ni mechi za mapema kabisa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

CSKA 1948 Sofia – Botev Vratsa

CSKA 1948 Sofia Win

 

Cherno More – Lok. Sofia

Cherno More Win

 

FC Volendam – Feyenoord

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Erzurumspor – Giresunspor

Erzurumspor Win

 

Ajax – G.A. Eagles

DC & BTS: (1X & YES)

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Kufungana GG 2024

2 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version