Karibu sana tutazame utabiri wa Mkeka Wa AFCON kutoka Kijiweni ambao tumekuandalia kutoka katika mechi mbalimbali zitakazoanza na hapa tutakuwekea mechi za ushindi wa moja kwa moja(1×2) lakini wewe pia una hiari ya kuutengeneza vile ambavyo unadhani utakufanya ushinde.

Tukianza na mechi za mapema kuanzia tarehe 13 Januari mpaka Tarehe 17

Ivory Coast vs Guinea Bissau: 1

Nigeria vs Equatorial Guinea: 1

Egypt vs Mozambique: 1

Ghana vs Cape Verde: 1

Senegal vs Gambia: 1

Cameroon vs Guinea: 1

Algeria vs Angola: 1

Burkina Faso vs Mauritania: 1

Tunisia vs Namibia: 1x

Mali vs South Africa: 12

Morocco vs Tanzania: 1

DR Congo vs Zambia: 12

Kama tulivyosema mkeka huu ni treni la AFCON 2023 kuanzia tarehe 13 Mwezi wa kwanza mpaka tarehe 17 na treni hili ni hiari yako kulifata na ukiliweka mapema basi odds zitakua bado ni kubwa kwa wale wa Sportybet ni takriban odds 93 na code yake ni hii hapa ya Tanzania B919751.

Soma zaidi: kwa kubonyeza hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Fulham vs Arsenal : Utabiri Na Vidokezo Vya Kubeti - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version