Mambo vipi mwana KIJIWENI bila shaka uko poa kabisa. Leo nina mjadala mdogo tu ambao nadhani inapaswa tujadiliane hapa na ninachotaka kusema ni kuwa kuna mastaa wengi wa soka kutoka nchi nyingine ambao tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini na wengine bado wapo wanaendelea kusakata Ligi Kuu.

Je, Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

SOMA ZAIDI:

1: Pale Simba Shida Sio Mangungu Ni Wachezaji Hawa 

2: Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla Kuhusu “Kuinunua Simba”  

 

32 Comments

  1. Kwa ufupi wako wengi lakini mwenye ako na mvuto ni KI AZIZI kwa ubora wake na msimu huu magoli yake yatavunja record ya TZ 🇹🇿

  2. MAX MPIA NZENGELI
    anaibeba sana yanga japo haimbwi sana yupo kama NYWELE vile uwanja mzima anatembe What a player…maestro..🔥🔥☄💚💛

  3. Aziz kii ana rekod nzur ila sio kila game yupo kwenyw peak lakinpacome kila game anakichafua
    Kama unabisha angalia game kubwa zote za yanga na ndogo

  4. Tunamsahau sana Bacca pale Yanga SC maana yule hadi timu ya Taifa anakiwasha na kila mechi anakiwasha……..Ingawa beki hasifiwi…😂

  5. Mkude yuko vizuri sana kwa sasa ukilinganisha umri na historia yake msimu ulio pita ila unaweza kuona namna anavo cheza kama mtoto wa 25 tu

  6. Pingback: Uwanja Wa Uhuru Ufanyiwe Marekebisho Maeneo Gani? - Kijiweni

  7. Clatous chma…chama kafnya kila kitu akiwa kma mchezaji professional…chma amefunga na ku assist sana…he is the real definition of attacking midfilder 🙌🙌🙌

  8. Mzopola Tobias on

    Labda wengi tuna mapenzi na team za kariakoo kiasi ambacho wachezaji walio nje ya Simba yanga hatuwaoni.
    Binafsi namkubali sana Fuentes Mendoza Beki wa kati wa Azam akitokea Colombia. Jamaa anajua.

Leave A Reply


Exit mobile version