Moja kati ya vitu vinavyovutia kwenye mpira wa miguu ni pamoja na majina ya utani ambayo wachezaji hupewa na mashabiki wa soka lakini pia na majina ambayo timu za taifa huwa nayo ambayo likitajwa tu huwa mtu moj kwa moja anajua ni timflani.

Ukiizungumzia timu ya taifa ya Tanzania basi huwezi kuacha kutaja jina Taifa Stars kwani hili ndio jina la utani la timu ya Taifa ya Tanzania kwa upande wa wanaume lakini kwa wanawake ni Twiga Stars. Hii leo karibu sana tutazame baadhi ya majina ya utani ya timu zinazoshiriki AFCON na ambazo hazishiriki.

 

Algeria Desert Fighters Libya The Mediterranean Knights
Angola The Sable Antelopes Madagascar The Barea
Benin The Squirrels Mali The Eagles
Botswana The Zebras Mauritius The Dogs
Burkina Faso The Stallions Morocco The Atlas Lions
Burundi The Swallows Mozambique The Mambas
Central African Republic The Big Cats Niger The Mena
Cape Verde The Blue Sharks Nigeria The Super Eagles
Djibouti Riverains de la Mer Rouge (“Shoremen of the Red Sea”) Namibia Brave Warriors
Eritrea The Camels Rwanda The Wasps (Men’s team) and She-Amavubi (Women’s team)
Ethiopia The Walia (Men’s team), Lucy (Women’s team) Sudan The Nile Crocodile (Mean’s team) and The Challenge / Al-Tahadi (women’s team)
Gabon The Black Panthers Sierra Leone The Leones Stars
Gambia The Scorpions Somali Ocean Stars
Guinea National Elephants South Sudan Bright Stars
Guinea Bissau The African Dogs Swaziland Super Falcons
Ghana The Black Stars (Men’s Team), the Black Queens (Women’s team) Togo The Sparrow Hawks
Ivory Coast The Elephants Tunisia The Carthage Eagles
Kenya Harambee Stars (Men) and Harambee Starlets (Women) Tanzania Taifa stars
Lesotho The Crocodiles Uganda The Cranes
Liberia Lone Stars Zambia Chipolopolo

 

Endelea kufuatilia zaidi kuhusu AFCON kutoka hapa Kijiweni kwa kubonyeza hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Stars Yamtema Sopu Na Metacha Kikosi Cha Mwisho AFCON - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version