Kwa kuanza kabisa tuutazame mchezo unaowakutanisha Liverpool vs Newcastle utakaopigwa katika dimba la Anfield katika jiji la Liverpool. Huu ni moja kati ya mchezo ambao bila shaka unasubiriwa kwa hamu kubwa sna na mashabiki wa soka na hii ni kutokana na upinzani uliopo kati ya Liverpool dhidi ya Newcastle.

Heri ya mwaka mpya 2024 na ahsante sana kwa kuendelea kuifuatilia Kijiweni katika taarifa mbalimbali za michezo bila kusahau dondoo na vidokezo muhimu vya ubashiri wa mechi mbalimbali za soka kutoka katika ligi zote pendwa barani Afrika kama Liverppol dhidi ya Newcastle

Ukiutazama msimamo wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Liverpool wako kileleni kwa alama 42 katika mechi 19 walizocheza huku Newcastle wao katika mechi 19 wamejikusanyia alama 29 licha ya kuanza vyema sana msimu huu na baadae majeruhi kuwapoteza katika ramani.

Katika mechi 5 zilizopita za mashindano yote ambayo Liverpool amecheza ameshind mechi 2 sare 2 na kupoteza mchezo mmoja na katika kila mechi amejitahidi kupata walau goli 1 huku Newcastle wao katika mechi 5 za mwisho kabla ya leo kukutana na Liverpool amepoteza mechi 4 na kushinda mechi moja pekee.

Katika mechi 10 ambazo wamekutana Liverpool dhidi ya Newcastle majogoo wameshinda mechi 6 huku Newcastle akishinda 2 na sare 2.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Kwa namba Liverpool walivyokua wa moto hivi sasa ni wazi hakuna atakaeacha kumpa straight win nah ii ikichangiwa na kiwango kibovu cha hivi karibuni cha Newcastle ( Liverpool Win 1)

Mechi inayowkakutanisha haw ani mara chache kuwa na idadi ndogo ya magoli kwa wale wanaobetia magoli wanaweza kuweka kuwe na magoli zaidi ya 2 katika mechi hii ( Over 2)

Kwa wale ambao waamini Liverpool anashinda lakini na magoli zaidi anaweza kuweka ( Liverpool Win and Over 1.5)

Unaweza kufuatilia dondoo nyingine za ubashiri kwa kusoma hapa.

3 Comments

  1. Pingback: Westham vs Brighton: Utabiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

  2. Pingback: Getafe vs Rayo Vallecano: Utabiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

  3. Pingback: AC Millan vs Cagliari : Utabiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version