Mechi kubwa kabisa hii leo katika Ligi Kuu nchini Uingereza ni pale majogoo wa jiji na vinara wa ligi hiyo Liverpool akiwakaribisha Chelsea katika dimba la Anfield moja kati ya mechi kubwa sana ya ligi kuu nchini Uingereza ya kuumaliza mwezi wa kwanza.

Wenyeji wametoka kwenye ushindi rahisi wa 5-2 nyumbani dhidi ya Norwich City katika raundi ya nne ya Kombe la FA mwishoni mwa wiki ambapo wachezaji watano walifunga mabao ambao ni Curtis Jones, Darwin Nunez, Diogo Jota, Virgil Van Dijk, na Ryan Gravenberch na kuisaidia Liverpool kufuzu kwa raundi ya tano watakayokutana na Watford au Southampton.

TAKWIMU

Liverpool wanaingia katika mchezo huu wakiwa nafasi ya 1 na alama zao 48 katika michezo 21 waliyocheza mpaka sasa wakati Chelsea wao wako nafasi ya 10 wakiwa na alama 31 kwenye michezo 21 waliyocheza mpaka sasa.

  • Wamekutana mechi 195 na mpaka leo anayeongoza ni Liverpool akiwa amemfunga Chelsea mara 84 na Chelsea akiwa ameshinda mara 65.
  • Michezo yao 7 ya mwisho kukutana mfululizo iliisha kwa
  • Kocha mkuu wa Chelsea Mauricio Pochetinho katika michezo 12 ya ukocha akikutana na Klopp ameshinda mchezo mmoja pekee huku akipata sare michezo 5 na kupoteza michezo 6.
  • Chelsea wana rekodi ya kushinda michezo takribni 18 kwa timu ambazo mara nyingi huwa inaongoza ligi.
  • Katika michezo yao 6 kati ya 7 ya ligi kuu inayowakutanisha, Chelsea wamekua ndio wa kwanza kufunga goli dhidi ya Liverpool.
  • Liverpool wako katika kiwango bora zaidi kwa sasa wakiwa na mechi 10 bila kufungwa hata moja.

 

TUNABETIJE?

Kutokana na namna takwimu zao zilivyo na jinsi ambavyo matokeo yo yalivyokua katika mechi zao walizokutana, hivi ndivyo tunavyosuka mkeka hapa Kijiweni.

  1. Magoli katika mchezo huu kunauwezekano mkubwa yakawa zaidi ya goli 1 yaani Over 1.5 au yakawa chini ya magoli 3 yaani Under 2.5.
  2. Kona katika mchezo huu tutegemee kon zaidi ya 10 yaani Total Corners Over 9.5
  3. Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa zaidi ya kadi 5 katika mchezo huu Total Bookings Over 4.5

 

SOMA ZAIDI: Mkeka Wa Leo Jumatano Odds 200

Leave A Reply


Exit mobile version