Kwa wawekezaji wa mikeka na wale ambao wanafahamika kama maafisa ubashiri bila shaka kawaida wapo ambao hutamani kujua ni ligi gani ambazo katika mechi moja huwa na asilimia kubwa kabisa ya kutoa magoli zaidi ya 4 katika mechi moja.

Hapa tumekuandalia ligi mbalimbali duniani ambazo kutokana na takwimu mara nyingi huwa na idadi kubwa ya magoli katika mechi moja ambapo hii humaanisha kuwa katika mechi moja basi huwa kuna uhakika wa magoli kutoka kwa timu zote mbili na huwa zaidi ya 4.

Ndio maana katika mikeka ukifika katika soko la magoli basi unaweza kukutana na kuwepo kwa odds kubwa sana kwani mara nyingi sio jambo la kawaida kwani katika mechi na ligi mbalimbali kubwa huwa ni 6% mpaka 30% ya matokeo hutokea ya namna hii ya magoli mengi.

Unaweza kutazama hapa ligi Pamoja na asilimia zake katika kutoa magoli zaidi ya 4 katika mchezo mmoja wa ligi hizo:

  1. Qatar Stars League 33.33%
  2. United Arab Emirates Arabian Gulf League 30.95%
  3. Germany Regionalliga North 29.44%
  4. Venezuela Primera Division 28.57%
  5. Austria Regionalliga Mitte 26.67%
  6. Austria Regionalliga Ost 24.32%
  7. Australia A-League 22.97%
  8. Germany Regionalliga Bavaria 22.89%
  9. Peru Primera 22.22%
  10. Slovakia Div 2 22.20%

Kama ambavyo umeweza kuona hizo ni ligi na asilimia zake katika kutoa magoli zaidi ya 4 katika mchezo mmoja kumbuka kuwa hizi ni takwimu lakini unao msingi wa kutaftuta takwimu nyingi zaidi kwa sababu zitakusaidia katika kuweka mikeka yako na kushinda bashiri zako unazoziweka katika mikeka yako.

SOMA ZAIDI: Ligi bora za kubetia kufungana katika betting.

6 Comments

  1. Pingback: Mkeka Wa Leo Ijumaa Wenye Odds 200 - Kijiweni

  2. Pingback: South Africa vs DR Congo Tunaandaa Hivi Mkeka - Kijiweni

  3. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumamosi Wikiendi Ya Kupiga Pesa - Kijiweni

  4. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumapili Wa Kuianza Wiki Na Kibunda - Kijiweni

  5. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatano Timu Za Mapema Odds 49 - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version