Wanasema raha ya mechi ni bao na mara nyingi wapo ambao wameamua kuweka bashiri zao katika suala la timu kufungana yaani Both teams to score na mara zote wapo ambao huchagua timu bila kufanya tafiti za kugundua ligi gani ambazo mara nyingi zaidi hutoa GG. Leo hii tutazame ligi bora 8  ambazo unaweza kubetia zifungane kutokana na kuwa na asilimia kubwa zaidi ya kufungana katika mechi ambazo zinakua zinachezwa katika ligi zao.

  • Ligi Kuu ya Saudi Arabia (UAE Pro League) ni moja kati ya ligi ambayo hutoa zaidi katika ubashiri wa kufungana yaani GG n ani moja kati ya ligi ambayo mechi zake kwa asilimia 69% hutoa soko hili yaani hufungana.
  • Ligi Kuu ya Bahrain pia ni moja kati ya ligi ambayo huwa haiwaangushi wawekezaji kwani huwa na asilimia 68% za kutoa katika soko la timu kufungana hivyo unaweza kufuatilia na kuweka bashiri zako katika ligi hii.
  • Ligi Kuu ya Singapore pia ni moja kati ya chimbo ambalo wapo wawekezaji hubashiri kutokea kwa GG na mara nyingi hutokea kwani mechi zao huwa na asilimia 67% ya kutokea kwa soko hili.
  • Ligi Kuu ya China japokua kuna muda huwa inawaangusha wawekezaji wa mikeka lakini ni miongoni mwa zile ligi ambazo huwa zinatoa sana katika kusuka mikeka ya GG na hawa wana uwezo wa kukupa asilimia 67% kama ilivyo katika ligi ya Singapore.
  • Ligi Kuu ya Australia hii kwa Tanzania mara nyingi unakuta zinakua ni mechi za saa 4 asubuhi na unaweza kuta za ligi kuu kwa upande wa wanaume na zile kwa upande wa wanawake ambazo huchezwa na mara nyingi katika mikeka ya ligi hii kuna asilia 67% y kutoa katika soko la kufungana.
  • Ligi Kuu ya Thailand, unajua changamoto kubwa ambayo inawakuta wengi katika ubashiri ni siku zote kubashiri katika timu zilezile za ligi zilezile ambazo zinafahamika wakati unaweza kuingia katika ligi kuu ya Thailand na kuweka mkeka wako katika soko hili la GG kwani ligi yao ipo katika orodha ya miongoni mwa ligi ambazo hutoa GG na ina asilimia takribani 65% za kutoa.
  • Ligi kuu ya nchini Qatar, ligi yao inafahamika kama Stars League na wana uwezo wa timu zao kufungana kwa asilimia 64% ukiingia chimbo na kutafuta mechi zako kadhaa unasuka
  • Ligi Daraja la Pili Nchini Uholanzi, ligi hii inafahamika kama Eerste Divisie Ned2 hii ukiingia na kuweka ubashiri wako katika masoko ya kufungana basi ujue una asilimia 63% za kushinda mkeka huu.

 

Kama ambavyo umeziona ligi hizo ni wakati wako sasa kuingia na kutazama masoko yake (odds) na kuona namna ambavyo unaweza kusuka mkeka wako kutokana na ligi hizo na kuendelea kushinda mikeka yako zaidi.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya GG Katika Betting?

4 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version