Wapo ambao mara nyingi hupenda kubashiri katika masoko ya sare na hii ni kutokana na namna ambavyo masoko yake huwa na odds nyingi ambazo hata ukichagua mechi chache tu zinakupa odds nyingi ambazo unaweza kutamani kuwekea mkeka. Hii leo tutatazama ligi 10 bora duniani za kubashiri mikeka ya sare ambazo wawekezaji wengi huzitumia katika kusuka mikeka yao ya kila siku lakini pia kutokana na takwimu za ligi hizo.

Hapa tumekuwekea ligi Pamoja na asilimia zake ambazo hutoa katika mikeka yake kumbua kuwa asilimia zinazobakia ni ushindi kwa timu ya nyumbani au kwa timu ya ugenini, KUMBUKA kubashiri kwa kiasi.

 

  1. Argentina Primera B Metropolitana       50.00%
  2. Panama LPF    47.06%
  3. Paraguay Primera   39.13%
  4. Colombia Primera B      37.50%
  5. Montenegro CFL                            37.23%
  6. Argentina Primera C           36.36
  7. Romania Liga I        33.51%
  8. Indonesia Liga 1         33.02%
  9. Poland Ekstraklasa       32.14%
  10. India Super League      32.00%

 

Kama ambavyo umeweza kutazama hizo ni ligi ambazo mara nyingi kutoakana na takwimu zake zilivyo huwa na uwezo mkubwa wa kutoa sare na ukizitazama nyingi ni kutoka bara la Asia na nyingine ni kutoka Ulaya Pamoja na bara la Amerika ambalo mara nyingi ligi zake zipo katika zile ligi za kuepuka kubashiri kutokana na namna ambavyo matokeo yake huwa ya kustaajabisha.

Ni muhimu kufuatilia takwimu kabla ya kusuka mkeka lakini pia hakikisha kuwa ni muhimu kuzingatia kubashiri kwa kiasi ili pale unapopoteza iwe ni rahisi kukitafuta tena ulichokipoteza katika mikeka yako.

SOMA ZAIDI: Nini maana ya 1×2 katika betting? 

2 Comments

  1. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatano Odds Kibao - Kijiweni

  2. Pingback: Odds 100 Za Mkeka Wa Leo Jumatatu - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version