Wapo wakongwe ambao wanazifahamu klabu zilizowahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara lakini pia wapo ambao hawazifahamu lakini hapa tumekuwekea orodha ya klabu ambazo ziliwahi kushinda mataji ya ligi kuu Tanzania Bara tangu mwaka 1965.

 

1965: Simba S.C.|Sunderland (Dar es Salaam)

1966: Sunderland (Dar es Salaam)

1967: Cosmopolitans S.C. (Dar es Salaam)

1968: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1969: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1970: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1971: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1972: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1973: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1974: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1975: Mseto S.C. (Dar es Salaam)

1976: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1977: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1978: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1979: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1980: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1981: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1982: Pan African S.C. (Dar es Salaam)

1983: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1984: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1985: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1986: Tukuyu Stars (Mbeya)

1987: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1988: Coastal Union S.C. (Tanga)

1989: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1990: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1991: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1992: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1993: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1994: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1995: Simba S.C. (Dar es Salaam)

1996: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1997: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

1998: Majimaji F. C. (Ruvuma)

1999: Mtibwa Sugar F.C. (Morogoro)

2000: Mtibwa Sugar F.C. (Morogoro)

2001: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2002: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2003: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2004: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2005: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2006: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2007: Simba S.C. (Dar es Salaam) [ligi ndogo]

2007–08: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2008–09: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2009–10: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2010–11: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2011–12: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2012–13: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2013–14: Azam F.C. (Dar es Salaam)

2014–15: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2015–16: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2016–17: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2017–18: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2018–19: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2019-20: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2020–21: Simba S.C. (Dar es Salaam)

2021–22: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

2022–23: Yanga S.C. (Dar es Salaam)

 

Kama ambavyo umeona hizo ndio klabu na idadi ya makombe ambayo wamechukua wakati wanapambania ligi kuu Tanzania Bara.

SOMA ZAIDI: Barua Hii Ikufikie Barbara Gonzalenz

1 Comment

  1. Pingback: Niko Sahihi Au Nimemuelewa Vibaya MO Dewji Kuhusu Simba? - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version