Klabu ya soka ya Kagera Sugar kutoka mkoani Kagera imetangaza rasmi kuachana na Kocha Mkuu Meck Maxime pamoja na kocha wa viungo Francis Mkanula.

Kupitia taarifa ya klabu hiyo iliyotolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu Ndugu Ibrahim Mohammed ni kuwa klabu hiyo itakua chini ya kocha Marwa Chambari mpaka watakapompata kocha mpya

Barua ya Kagera Sugar ikizungumzia kutemana na Kocha Mkuu Meck Mexime.

Endelea kusoma zaidi kuhusu taarifa mbalimbali za soka la Tanzania kwa kubonyeza hapa.

Leave A Reply


Exit mobile version