Nusu fainali ya pili ya michuano ya mataifa barani Afrika ya kumtafuta yule anaekwenda fainali ya michuano hii mikubwa zaidi ya mpira wa miguu ngazi ya timu za taifa ni mchezo kati ya Ivory Coast dhidi ya DR Congo. Dakika 90 za mchezo huu mkubwa zitapigwa katika uwanja wa Alassane Ouatarra na kumbuka kuwa wenyeji wa michuano hii timu ya taifa hiyo wako nyumbani na watapata nguvu kutoka kwa mashabiki wao wa nyumbani tofauti na DR Congo ambao wako mashabiki wachache tu waliosafiri.

TAKWIMU

Timu zote mbili zimekutana mara 3 katika michuano hii huku mechi moja pekee ikiisha kwa sare na mechi ya mwisho kukutana ilikua ya kirafiki mwaka 2019 ambapo Code Divouir walishinda kwa mabao 3:1 na wanaingia katika mchezo huu wakiwakosa wachezaji wao wawili Odilon Kossounou na mshambuliaji Oumar Diakité. DR Congo wameendelea kufanya maajabu yao licha ya kutopewa nafasi kubwa ya kufanya chochote msimu huu na wanaingia katia mchezo huu mgumu dhidi ya Ivory Coast.

  • Katika mechi 5 za mwisho dhidi ya DR Congo kumbuka kuwa Ivory Coast wameshinda mara 3 wakipata sare mara 1 na kupoteza mara moja.
  • Ivory Coast wameshinda mabao 5 na kuruhusu mabao 7 katika mechi za 7 za mwisho katika michuano hii ya AFCON.
  • Tembo wamechukua ubingwa wa AFCON mara 2 ambapo nim waka 1992 na mwaka 2015 huku DR Congo wakiibuka mabingwa mwaka 1968 na mwaka 1974.
  • Mechi 10 za mwisho za DR Congo dhidi ya tembo ameshinda mara 3 akipata sare mara 3 na huku wakipoteza mara 4.

TUNABETIJE?

  1. Ivory Coast Anafuzu hatua inayofuata (Ivory Coast to Qualify)
  2. Kuwe na magoli zaidi ya 1 katika mechi (Total Goals Over 1.5)
  3. Kutakua na kadi zaidi ya 2 kipindi cha kwanza (1st Half Total Bookings Over 2)

SOMA ZAIDI: Hakuna Mnyonge Yoyote Anaweza Kuwa Bingwa AFCON 2023

Leave A Reply


Exit mobile version