Baada ya kutoka sare mchezo uliopita dhidi ya Genoa hii leo Inter Millan wanarejea katika uwanja wa San Sirro kukipiga dhidi ya Verona katika mchezo wa ligi kuu nchini Italia maarufu kama Serie A.

Katika mchezo huu Inter anaingia kama mbabe mbele ya Verona kwani ameshamfunga katika michezo kadhaa ambayo wamekutana kwa wastani wa kupata zaidi ya goli 1 katika mechi wanazokutana. Katika mechi 5 za mwisho za ligi Millan wameshinda mechi 2 na kusare mechi 2 huku wakipoteza mechi moja dhidi ya Bologna.

Verona wao katika mechi 5 za mwisho wameshinda mchezo mmoja pekee dhidi ya Cagliari huku wakipoteza mechi 2 dhidi ya Salernitana na Fiorentina na kusare mechi 2 ambazo ni dhidi ya Lazio na moja dhidi ya Udinese.

Kwenye msimamo wa ligi wenyeji wako nafasi ya 1 wakijikusanyia alama 45 katika mechi 18 walizocheza mpaka sasa huku wageni katika mchezo wa leo wako nafasi ya 17 wakijikusanyia alama 14 katika mechi 18 walizocheza mpaka sasa.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Katika mechi 5 za mwisho ambazo Inter amekua nyumbani ameshinda mechi 3 na kusare moja huku wakipoteza mechi 1 na mechi zote wameshinda kwa goli zaidi ya moja. Hivyo INTER Win with Over 1.5 Goals

Kwa wanaoweza kubashiri magoli tu basi mechi hii ina magoli zaidi ya mawili yaani Over 2

Ukitazama mfululizo wa matokeo kwa Verona ni wazi hawezi kupata magoli zaidi ya 3 kuwafunga Inter Millan hivyo ni Verona Under 2.5 Goals.

Endelea kusoma zaidi kuhusu vidokezo na ubashiri kwa kugusa hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Chelsea vs Preston : Ubashiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version