Mambo vipi? Uko poa? Karibu tena kwenye mkeka wa leo Jumatano kutoka Kijiweni ambao una odds 50 kupanda juu. Hapa tumekuandalia mechi takribani 8 zikiwemo za AFCON ambazo ni hiari yako wewe kama Mwekezaji wa mikeka kuamua kampuni ambayo unadhani itakua poa kwa ajili ya kubashiri nayo katika mikeka hii lakini kubwa zaidi Kumbuka kucheza kwa kiasi.

Namibia – Mali

Total Bookings Over 1.5

 

South Africa – Tunisia

Double Chance: (1X)

 

Bayern Munich – Union Berlin

Home to Win Both Halves? (YES)

 

Leuven – Antwerp

Antwerp Win

 

Leeds – Norwich

(1 & GG)

 

Tanzania – D.R. Congo

DR Congo Goals Over 0.5

 

Zambia – Morocco

Morocco Win

 

Fulham – Liverpool

GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)

Bila shaka umeziona mechi zote 11 ambazo tumekuandalia na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Jinsi ya kubashiri kadi katika mechi

 

Leave A Reply


Exit mobile version