Mambo vipi? Uko poa? Karibu tena kwenye mkeka wa leo jumanne kutoka Kijiweni ambao una odds 66. Hapa tumekuandalia mechi takribani 11 zikiwemo za AFCON ambazo ni hiari yako wewe kama Mwekezaji wa mikeka kuamua kampuni ambayo unadhani itakua poa kwa ajili ya kubashiri nayo katika mikeka hii lakini kubwa zaidi Kumbuka kucheza kwa kiasi.

 

Iran – United Arab Emirates

Iran Win

 

Gambia – Cameroon

Double Chance: (X2)

 

Guinea – Senegal

1st Half: (Under 1.5)

 

Bolton – Cheltenham

Bolton Win

 

Mansfield – Sutton

Mansfield Win

 

Chesterfield – Woking

(1 & Over 1.5)

 

Bordeaux – Valenciennes

Bordeaux Win

 

Angola – Burkina Faso

Total: (Under 3.5)

 

Mauritania – Algeria

Algeria Win

 

Reading – Derby

GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)

 

Chelsea – Middlesbrough

Chelsea Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote 11 ambazo tumekuandalia na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Handicap Ina Maanisha Nini Katika Ubashiri?

Leave A Reply


Exit mobile version