Mambo vipi? Uko poa? Karibu tena kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambao una odds zaidi ya 100. Hapa tumekuandalia mechi takribani 12 zikiwemo za Ligi kuu ya Ufaransa na zile za ligi kuu ya Uingereza ambazo ni hiari yako wewe kama Mwekezaji wa mikeka kuamua kampuni ambayo unadhani itakua poa kwa ajili ya kubashiri nayo katika mikeka hii lakini kubwa zaidi Kumbuka kucheza kwa kiasi.

 

HJK – Mariehamn

HJK Win

 

Karmiotissa – AEK Larnaca

AEK Larnaca Win

 

Nea Salamis – APOEL

APOEL Win

 

Kaiserslautern – Schalke

Total: (Over 2.5)

 

Niort – Chateauroux

Niort Win

 

St. Liege U23 – Lommel SK

Lommel SK Win

 

Eintracht Frankfurt – Mainz

1st Half: (Over 0.5)

 

Cagliari – Torino

Double Chance: (X2)

 

Cercle Brugge KSV – St. Liege

Total: (Over 2.5)

 

Lyon – Rennes

1st Half: (Under 1.5)

 

Almeria – Alaves

1st Half: (Under 1.5)

 

Tottenham – Manchester City

(2 & GG)

 

Bila shaka umeziona mechi zote 12 ambazo tumekuandalia na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Nini maana ya Player Specials Katika Betting?

 

 

1 Comment

  1. Pingback: Tottenham vs Man City Tunabeti Vipi? - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version