Mambo vipi? Uko poa? Karibu tena kwenye mkeka wa leo Alhamis kutoka Kijiweni ambao una odds zaidi ya 30. Hapa tumekuandalia mechi takribani 7 zikiwemo za michuano ya bara la Asia ambazo ni hiari yako wewe kama Mwekezaji wa mikeka kuamua kampuni ambayo unadhani itakua poa kwa ajili ya kubashiri nayo katika mikeka hii lakini kubwa zaidi Kumbuka kucheza kwa kiasi.

 

South Korea – Malaysia

South Korea Win

 

Saudi Arabia – Thailand

Saudi Arabia Win

 

Achnas – Aris

Aris Win

 

Galatasaray – Istanbulspor AS

Home to Win Both Halves? (YES)

 

USV Hercules – Cambuur

Cambuur Win

 

Bournemouth – Swansea

(1 & GG)

 

Atl. Madrid – Sevilla

First 10 Minutes: (X)

 

Bila shaka umeziona mechi zote 8 ambazo tumekuandalia na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya “Draw No Bet” Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version