Usihangaike sana kuandaa mkeka wa leo kwani sisi Kijiweni tumekuandalia mkeka ambao unaweza kuufuata kupitia kampuni ambayo unatumia kwa ajili ya kubashiri na kumpia mhindi . Tuanze sasa kwa kufuata hapa namna mkeka huu ulivyo. Najua wapo wale ambao wanaandaa ya AFCON pia. Kumbuka mech izote hapa ni za leo tarehe 22/01/2024 na zipo baadhi yam chi ambazo zinaanza mapema.

Levadiakos vs Kampaniakos

Levadiakos Win

 

Equatorial Guinea vs Ivory Coast

Ivory Coast Win

 

Guinea Bissau vs Nigeria

Nigeria Win

 

Bournemouth U21 vs Wolves U21

Bournemouth U21 Win

 

Chelsea U21 vs Colchester U21

Chelsea U21 Win

 

Leicester U21 vs Fulham U21

Fulham U21 Win

 

Brighton vs Wolves

(1 & Over 1.5)

 

Chelmsford vs Welling

Chelmsford Win

 

Cape Verde vs Egypt

Egypt Win

 

Mozambique vs Ghana

Ghana Win

 

Granada CF vs Atl. Madrid

Atl. Madrid Win

Kabla ya kufanya uamuzi wako, ni muhimu kuchunguza historia na uzoefu wa timu husika. Je, wamekuwa na mafanikio makubwa katika mashindano ya awali? Je, wana rekodi nzuri dhidi ya timu nyingine? Uzoefu wa timu unaweza kuwa kiashiria cha jinsi wanavyoweza kushughulikia mazingira magumu na kutoa matokeo mazuri.

Kuchagua timu inayofaa ili kushinda mkeka ni mchakato unaohitaji tathmini makini ya mambo mbalimbali. Kwa kuzingatia historia ya timu, uwezo wa wachezaji, mikakati, na hali ya sasa ya mashindano, unaweza kuwa na mwongozo imara wa kufanya uamuzi wako. Kumbuka, michezo ni burudani na kutabiri matokeo kunaweza kuwa changamoto, lakini kutumia habari zinazopatikana kunaweza kuongeza nafasi zako za mafanikio.

SOMA ZAIDI: Usibashiri Ushindi Kwa Timu Hizi AFCON Leo

 

Leave A Reply


Exit mobile version