Kila mtu ana namna yake ya kuweka mkeka wake wa uhakika lakini hii leo tutazame option ambazo zitakupa pesa chap kwenye mkeka wako lakini kumbuka kuwa makini na kubet kwa kiasi katika mkeka utakaotengeneza ili kujishindia pesa.

Maana ya Player Sent off?

Player sent off? Hii ni bet ya kuchagua iwapo kwenye mchezo mzima itatokea mchezaji kutolewa nje kwa red card ama la!.

  • Player sent-off? – No: Hapa tunatabiri kuwa hakutakuwa na mchezaji atakae tolewa nje kwa red card. “No” ni rahisi kushinda na odds zake ziko chini kidogo.
  • Player sent-off – Yes: Hapa unakubali kuwa kwenye mchezo mzima kutakuwa na red card. “Yes” ni ngumu na ina odds kubwa sana.

Maana ya Total Goal Rangess

Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na teams zote ndani ya dakika 90+ za mchezo.

  • Total Goal Rangess: 2 – 4: Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne, mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4. Jumla ya magoli yakizidi manne tumepoteza.
  • Total Goal Rangess: 2 – 5: Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi matano. Jumla ya magoli yakizidi matano tumepoteza.

Maana ya Goal Bands

Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na teams zote ndani ya dakika 90+ za mchezo.

  • Goal Bands: 2 – 4: Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne, mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4. Jumla ya magoli yakizidi manne tumepoteza.
  • Goal Bands: 2 – 5: Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi matano. Jumla ya magoli yakizidi matano tumepoteza.

Maana ya 1st Half Multigoals

Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa kipindi cha kwanza.

  • 1st Half Multigoals: 1 – 2: Hapa tunatabiri lifungwe goli moja au mawili kipindi cha kwanza. Yakizidi mawili tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 0:1 na 0: 2
  • 1st Half Multigoals: 1 – 3: Hapa tunatabiri lifungwe goli mpaka matatu kipindi cha kwanza. Yakizidi matatu tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 3:0, 2:1 0:1, 0: 2, 1:2 na 0:3

Maana ya Home / Away Multigoals

Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na team ya Home au Away ndani ya dakika 90+ za mchezo. Hii haijalishi atashinda, atadroo au atapoteza ila tunachoangalia ni apate goli au magoli ndani ya range tulioiweka.

  • Hometeam Multigoals: 1 – 2: Hapa tunatabiri team ya nyumbani kupata goli moja au mawili. Team ya nyumbani ikizidisha zaidi ya magoli mawili tumepoteza.
  • Awayteam Multigoals: 1 – 2: Hapa tunatabiri team ya ugenini kupata goli moja au mawili. Team ya ugenini ikizidisha zaidi ya magoli mawili tumepoteza.
  • Hometeam Multigoals: 1 – 3: Hapa tunatabiri team ya nyumbani kupata goli moja, mawili ama matatu. Team ya nyumbani ikizidisha zaidi ya magoli matatu tumepoteza.
  • Awayteam Multigoals: 1 – 3: Hapa tunatabiri team ya ugenini kupata goli moja, mawili ama matatu. Team ya ugenini ikizidisha zaidi ya magoli matatu tumepoteza.

Endelea kufuatilia vidokezo vya ubashiri kwa kugusa hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Liverpool vs Newcastle: Utabiri Na Vidokezo Vya Kubeti - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version