Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeanza mazungumzo na beki wa Simba, Joash Onyango kwa ajili ya msimu ujao.

Beki huyo raia wa Kenya licha ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi hicho, huenda akarejea kwao baada ya msimu huu kuisha kutokana na kile kinachoonekana kutokubalika na mashabiki wengi.

Licha ya Gor Mahia kumuhitaji, Singida Big Stars nayo inahitaji saini yake na iko mbioni kumalizana na hilo.

Kwa taarifa zaidi kuhusu usajili mbalimbali, tufatilie hapa.

Hizi hapa ni takwimu za msimu wa 2021/2022 kuhusu mchezaji Joash Onyango wa Simba SC. Hapa chini ni takwimu zake kwenye msimu huo:

  • Jumla ya Mechi: 30
  • Mabao Aliyofunga: 3
  • Asisti Aliyotoa: 2
  • Kadi za Manjano: 5
  • Kadi Nyekundu: 0
Leave A Reply


Exit mobile version