Baada ya kuuwasha vilivyo mwaka 2023 na kushikilia nafasi ya 2 mpaka hivi sasa katika msimamo wa La Liga klabu ya Girona wana kibarua cha kumkaribisha Atletico Madrid katika dimba la Manispaa ya Montivili.

Katika mchezo huu Girona wanaingia wakiwa na alama 45 katika mechi 18 sawa kabisa na Real Madrid wakipishana kwa alama ya magoli pekee huku katika mechi 5 zilizopita wameshinda mechi 4 kwa idadi ya magoli zaidi ya 2 lakini pia wakipata sare mchezo mmoja.

Atletico wao katika msimamo wa La Liga wapo nafasi ya 3 na alama 38 katika mechi 18 mpaka sasa na katika mechi 5 za mwisho wameshinda michezo 3 wakipoteza mchezo mmoja na kusare mchezo mmoja.

Kinachoshangaza zaidi ni kuwa katika mechi 8 walizokutana wao kwa wao yaani Girona na Atletico Madrid kumekua na sare nyingi sana ambazo zote kuna magoli zaidi ya 1 na Atletico kushindamechi 3.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Kutokana na takwimu za mechi hii inavyokua ni ngumu sana kumpa mmoja ushindi wa moja kwa moja unaweza kumpa yoyote ashinde ( Home or Away Win 1 or 2)

Kwa wale wanaoweza kubashiri kuhusu magoli mchezo huu wanaweza kumpa Girona apate angalau goli 1 kwa Atletico ( Girona Goals Over 0.5)

Lakini pia mechi inayowakutanisha hawa huwa wanafungana ( Both team to score and Over 1.5)

Endelea kusoma zaidi kuhusu vidokezo vya uchambuzi na ubashiri wa mikeka kwa kusoma hapa.

1 Comment

  1. Pingback: AS Roma vs Cremonese : Utabiri Na Vidokezo Vya Ubashiri - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version