Wakiwa nafasi ya 10 katika msimamo wa ligi kuu nchini Hispania yaani La Liga na alama zao 29 katika mechi 21 timu ya Getafe hii leo wanawakaribisha Real Madrid walioko nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi na alama zao 54 katika mechi 21 walizocheza mpaka sasa.

TAKWIMU

Msimu huu kumekua na ushindani mkubwa sana katika La Liga kutoka kwa Girona ambao ndio wanaongoza ligi mpaka sasa kwa alama moja baada ya kusare mchezo uliopita dhidi ya Almeria.

  • Katika ligi mechi kati ya Getafe dhidi ya Real Madrid vijana wa Ancelotti wamekua wababe wakishinda michezo 28 huku Getafe akishinda michezo 6 pekee.
  • Toka mwezi wa kumi na mbili mwaka jana mpaka sasa Getafe ameshinda mchezo mmoja pekee akipata sare mchezo mmoja na kufungwa miwili.
  • Madrid wako katika kiwango kizuri sana sasa hivi wakishinda michezo 5 mfululizo na katika mechi 15 kumbuka kuwa hawajafungwa.

TUNABETIJE?

Kuanzia takwimu mpaka historia inaibeba Madrid katika mchezo huu na ni wazi wawekezaji wa mikeka wataangalia masoko ambayo yatawafanya washinde mikeka yao.

  1. Real Madrid Anashinda
  2. Kutakua na magoli zaidi ya 3 (Over 2.5 Goals)
  3. Both teams to score YES (Madrid katika michezo 6 hawajawahi kuondoka na Cleen Sheet)
  4. Jude Belingham apige pasi zaidi ya 25 kwenye mechi (Player Special)
  5. Kutakua na corner zaidi ya 4 (Total Coners Over 3.5)

SOMA ZAIDI: Ligi za kuepuka wakati wa Betting.

 

Leave A Reply


Exit mobile version