Ni wazi sasa mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zimerejea wakati FC Copenhagen anakutana na Man City na ndio muda kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda kusuka mikeka na wanaopenda kuweka pesa nyingi kwenye mechi moja pekee kutazama takwimu tulizozipitia na kuziandaa kwa urahisi zaidi ili uweze kuusuka mkeka wako na ushinde.

Kumbuka kuwa Man City anaingia katika mchezo huu kwa ajili ya harakati zake za kuutetea ubingwa huu ambao alichukua msimu uliopita nah ii ni hatua ya mtoano ambapo mchezo wa kwanza anaanzia ugenini.

Katika ligi ya Denmark, Copenhagen wako nafasi ya 3 kwenye msimamo huku katika mechi zao 4 za mwisho za ligi wamepoteza mechi 2 pekee.

TAKWIMU:

  • Copenhagen hawajawahi kumfunga Man City katika michezo yao 4 ya mwisho kukutana katika mashindano yote ambapo wamepoteza 2 na kupata sare michezo 2.
  • City hajawahi kushinda ugenini katika mashindano makubwa ya ulaya dhidi ya timu kutoka Denmark.
  • Hii ni mara ya pili kwa Copenhagen kuingia katika hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa ulaya kwani mara yao ya mwisho kufanya hivyo ilikua msimu wa mwaka 2010-11 ambapo walitolewa na Chelsea.
  • City anaingia katika mchezo huu akiwa na rekodi ya kushinda michezo 8 mflulizo katika michuano ya mabingwa Ulaya wakiwa ni klabu pekee kutoka ligi kuu ya Uingereza kufanya hivyo katika historia ya mashindano haya.

TUNABETIJE?

Baada ya kutazama takwimu bila shaka utakua unajiuliza katika mchezo huu sasa tunasuka vipi mkeka ili kuweza kushinda na kuibuka na kibunda cha mhindi? Utabiri wenyewe ni kama ufuatavyo:

  1. City Anashinda (Manchester City to win)
  2. Mechi kuwa na magoli zaidi ya 1 (Total Goals Over 1.5)
  3. City asifungwe bao hata 1 (Manchester City to keep a clean sheet – Yes)

SOMA ZAIDI: Mkeka Wa Leo Wenye Odds Zaidi Ya 100

Leave A Reply


Exit mobile version