Hatua ya 32 bora kombe la FA inaendelea hii leo nchini Uingereza ambapo Crystal Palace anamkaribisha Everton katika mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Selhurst Park katika jiji la London wenye uwezo wa kubeba takribani mashabiki elfu 25.

Katika mechi 6 za mwisho za klabu ya Palace wameshinda magoli 8 huku wakishinda mechi 1 wakipata sare mechi 2 na kupoteza mechi 3 na katika mechi hizo 6 wameweza kupata magoli zaidi ya matatu katika mechi huku goli 1 katika mechi zote sita.

Everton wao katika mechi za 6 za mwisho wamepoteza 3 wakipata sare mechi 1 na kushinda mechi 2 wakiwa na magoli 7 katika mechi zao 6 walizocheza.

Timu hizi mbili zimekutana katika mechi 26 mpaka sasa na Palace wameshinda mechi 4 huku Everton akishinda mechi 11 na kukiwa na sare 11 hivyo Everton huwa mbabe kwa Palace.

Katika mechi zilizowahi kuwakutanisha hawa ni kwamba haswa katika magoli Palace ana idadi ya magoli 27 huku Everton ana idadi ya magoli 39.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Katika mechi 2 mfululizo wameweza kutoa sare maamuzi ni yako sasa utoe sare au yoyote ashinde.( 1x or x2 , 12, )

Katika mechi 2 mfululizo hawajafungana yaani (BTTS No)

Katika mechi 2 mfululizo Magoli yalikua chini ya 3 yaani (Under 2.5)

Endelea kufuatilia dondoo na vidokezo vya ubashiri kwa kusoma hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Inter Millan vs Verona: Ubashiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version