Wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Stamford Bridge klabu ya Chelsea wanakutana na Preston katika mchezo wa 32 bora kombe la FA.

Chelsea wanaingia katika mchezo huu wakiwa na mwendelezo mzuri wa matokeo kwani katika mechi zao 4 za ligi kuu na moja ya Carabao wameshinda mechi 3 dhidi ya Luton , Crystal Palace na Newcastle lakini akisare dhidi ya Man City na kupoteza kwa Wolves.

Preston wakiwa na muendelezo wa matokeo mabovu katika msimu huu ambapo katika ligi ya Daraja la kwanza (Championship) ameshinda mchezo mmoja pekee dhidi ya Leeds na kupoteza michezo 4 iliyobakia ambapo alipoteza dhidi ya Sunderland kwa bao 2:0, lakini pia dhidi ya Sheff Wednesday kwa 1:0, Swansea 2:1 na Watford 5:1.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Chelsea ana asilimia kubwa zaidi ya ushindi katika mchezo huu kutoka na mwendelezo wa matokeo alioano (Chelsea Win)

Katika mchezo uliopita Preston wameruhusu mabao 5 dhidi ya Watford hivyo katika mchezo kuna uwezekano wa kupatikana magoli zaidi ya 3 ( Over 3 Goals)

Kwa wanaopenda Double chnce wanaweza kumpa the blues ashinde kwa zaidi ya goli 1 yaani ( Chelsea win and Over 1.5 Goals)

Msimu huu Chelsea wameonekana kutokua vizuri haswa eneo la ulinzi kwa kuruhusu magoli yasiyotarajiwa hivyo unaweza bashiri kwa magoli kuwa walau Preston apate goli 1 ( Preston Over 0.5 Goals)

Endelea kusoma taarifa zetu na vidokezo zaidi vya ubashiri kwa kugusa hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Arsenal vs Liverpool : FA Cup Vidokezo Vya Ubashiri Wa Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version