Hii itakua moja kati ya mechi yenye utamu mkubwa zaidi katika AFCON kutokana na kile ambacho Cape Verde wamekuja nacho katika mashindano ya msimu huu na kuwa moto wa kuotea mbali. Hapa wanatafuta moja kati ya nusu fainali yao ya kwanza kabisa katika historia ya soka katika nchi yao kwani kwa kufika hatua ya robo fainali ni mara yao ya pili kufanya hivyo tangu walivyofanya mwaka 2013.

Kumbuka kuwa mara yao ya mwisho kukutana kati ya vigogo hawa South Africa alifungwa bao 2:1 na katika michuano hii wameonesha namna ambavyo wamejipanga zaidi kwa kuwa na wacezaji wengi vijana wanaojituma pia.

Afrika Kusini wao wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kiwango bora baada ya kumfunga Morocco bao 2:0 jambo ambalo linawapa nguvu zaidi ya kuingia katika mchezo huu.

TAKWIMU:

Mara ya mwisho kwa Bafana Bafana kuchukua ubingwa ilikua mwaka 1996 na ni moja kati ya timu ambayo nayo inapewa chapuo la kuwa mabingwa wa michuano ya mwaka huu.

  • Cape Verde wameshinda mara 2 na kusare mara moja na kupoteza pia mara moja katika michezo yao 5 ya mwisho dhidi ya Afrka Kusini.
  • Cape Verde wao wamefuzu mara 4 katika AFCON huku South Africa wakifuzu mara 11.
  • Katika mashindano yote Cape Verde wameshinda mabao 8 na kuruhusu mabao 5

TUNABETIJE?

  1. South Africa anashinda mchezo huu
  2. Magoli zaidi ya 2 katika mchezo
  3. South Africa kuwa wa kwanza kushinda goli
  4. Cape Verde atashinda bao NDIO

SOMA ZAIDI: Mali vs Ivory Coast tunabeti hivi

1 Comment

  1. What I do not understand is how you are not even more well-liked than you currently are. You are exceptionally intelligent and know so much about this subject that it caused me to believe it from a multitude of perspectives. It seems that people are not interested in anything related to Lady Gaga. Your own work is consistently excellent.

Leave A Reply


Exit mobile version