Katika jiji la Roma hii leo kwenye uwanja wa Olimpico klabu ya AS Roma inawakaribisha Cremonese katika michuano ya Copa Italia ambapo mshindi katika mchezo huo mshindi atakutana na Lazio kwenye hatua inayofuata.

Katika mechi 5 za mwisho za kimashindano ameshinda michezo 2 pekee akipoteza miwili na kusare mchezo mmoja huku Cremonese akiwa ameshinda mechi 2 na kupoteza 2 na kusare mmoja muendelezo sawa kabisa kama wa AS Roma.

Mechi inayowakutanisha vijana hawa kutoka Italia mara nyingi huwa na idadi ya magoli kuanzia mawili na licha ya hayo pia hufungana moja kati ya mechi ngumu zaidi kwa timu zote katika mchezo wa hii leo.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Katika mechi 4 za mwisho walizokutana AS Roma amekua na nafasi kubwa zaidi kwa kushinda haswa katika michuano hii ya Copa Italia. (  AS Roma Win)

Cremonese yeye ameshinda mchezo mmoja pekee na kusare michezo miwili pekee ( Cremonese Lose) lakini pia yupo katika ukame mgumu zaidi kwani hawajashinda katika mechi 3 za mwisho za ugenini ambapo wamepoteza mara 2 na kusare mchezo mmoja na hii ni toka walivyoshinda mabao 3 ugenini kwa Brescia.

Endelea kufuatilia zaidi vidokezo vya ubashiri kwa kugusa hapa

1 Comment

  1. Pingback: Las Palmas vs Barcelona : Ubashiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version