Woozah…!! Ebhana mambo vipi mwekezaji? Wikiendi imeendaje? Karibu sana tutazame namna ambavyo tunaianza wiki kwa kuuchungulia mkeka huu tuliouandaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 100. Kumbuka ni michezo kutoka ligi mbalimbali bila kusahau hatua ya 16 bora ya michuano ya mataifa barani Afrika. Kumbuka kuupitia mkeka huu na kutazama vile ambavyo unaweza kuusuka upya…!!

 

 

AEK Athens FC B – Levadiakos

Levadiakos Win

 

Qatar – Palestine

Qatar Win

 

Cape Verde – Mauritania

Cape Verde Win

 

Estrela – Benfica

HT/FT: (2/2)

 

Blackburn – Wrexham

Total: (Over 1.5)

 

Salernitana – AS Roma

Double Chance: (X2)

 

Bordeaux – Angers

1st Half: (Under 1.5)

 

Senegal – Ivory Coast

Double Chance: (1X)

 

Getafe – Granada CF

1st Half: (Under 1.5)

 

Leiknir – Fylkir

Fylkir Win

 

Sporting CP – Casa Pia

Home to Win Both Halves? (YES)

Bila shaka umeziona mechi zote 11 ambazo tumekuandalia na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini maana ya Draw No Bet katika betting?

 

Leave A Reply


Exit mobile version