Hatua ya 8 bora kombe la Copa Italia inaendelea kwa AC Milan kuwakaribisha Cagliari katika dimba la Santiago Bernabeu kusaka hatua ya nusu fainali la kombe hilo.

Cagliari wanaingia hatua hii ya 8 bora baada ya kumtoa Udinese kwa jumla ya mabao 2 kwa 1 mchezo ambao ulienda mpaka hatua ya dakika za nyongeza baada ya dakika 90 kukamilika bila ya kufungana.

Mwaka 2023 kwa AC Milan katika mechi zao 5 za mwisho kabla ya kukutana leo na Cagliari waliweza kuumaliza kwa kushinda mechi 3 huku wakisare mechi 1 na kupoteza mechi 1 huku wapinzani wao katika mechi 5 za mwisho wameshinda mechi 1 wakipoteza 3 na sare 1.

Mara zote ambazo Millan wamekutana na Cagliari wamewafunga ingawa pia kulikua kukitokea sare za kufungana na siku zote mechi yao huwa na goli zaidi ya moja.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Kutokana na namna Millan walivyo hivi sasa itakua ajabu kama hutampa ushindi wa moja kwa moja katika mchezo huu bila kusahau na idadi ya goli kuanzia moja yaani ( AC MILLAN WIN and Over 0.5)

Ukiachilia mbali kumpa ushindi wa moja kwa moja katika mchezo huu unaweza kubashiri kwa magoli kwa kumpa AC Millan afunge zaidi ya goli 1 yaani ( AC MILLAN Goals Over 1.5)

Licha ya udhaifu ambao Cagliari anaingia nao katika mchezo huu lakini unaweza kumuamini kwa kumpa asipate zaidi ya magoli matatu yaani ( CAGLIARI Under 2.5).

Kwa namna yoyote ile Ac Millan hawezi kukubali kupoteza nafasi ya kuingia nusu fainali hivyo lazima apambanie kushinda hii mechi dhidi ya Cagliari.

Endelea kusoma zaidi vidokezo vya ubashiri kwa kugusa hapa.

 

Leave A Reply


Exit mobile version