Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: simba sc
Uwekezaji ni njia ya kufanya kitu ama fedha kuzaa fedha zaidi na zaidi. Ili uwe mwekezaji unapaswa kuwa na shughuli inayokuingizia kipato halafu ndipo unaweza kuwekeza…
Ukiitazama klabu ya Yanga katika jicho la kishabiki unaweza kuiona namna ambavyo ina balaa inavyokua kiwanjani ambapo kwetu sisi tunaowaangalia katika jicho la namna wanavyotekeleza mifumo…
Ni takribani miaka kumi na tano sasa tokea kuanza kushuhudia Tamasha la klabu hapa nchini, ni dhahiri kuwa aliyebeba na kubuni wazo ilo anahitaji pongezi kubwa…
Ni muda sasa takribani miaka mitatu kikosi cha Simba SC kimekuwa hakina muendelezo mzuri wa kimatokeo jambo ambalo limepelekea kushindwa kuchukua mataji makubwa nchini. Mashabiki na…
Saido akiwa Yanga iliishi maisha yenye furaha muda wote, aliheshimika na kuimbwa Kwa melodi tamu zisizomchosha masikio, melodi zilizoisindikizwa na nickname ya “godfather wa Bujumbura”, akiwa…
Matumizi ya Nafasi yameamua Dakika 90 za Kasi na Ufundi kwa Timu zote mbili. Azam wakitumia zaidi pembeni huku Simba wakitumia Katikati na upande wa kushoto…
Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa Kijiweni hasahasa mashabiki wa timu hizi kubwa yaani Yanga pamoja mashabiki wa Simba ambao wanadai Fredy Koublan ni…
Baada ya tetesi kuvuma kuwa Kocha mkuu wa klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ataondoka mwishoni mwa msimu kumekua na maswali mengi kwa wadau kuhusu tutegmee Simba…
Kama kawaida yangu Mhariri nimepitapita pita katika mitandao ya kijamii na kukutana na chapisho ambalo ameandika mchambuzi wa soka kutoka hapa nchini Tanzania anayefahamika kama Presenter…
Moja ya mchezo mkubwa sana nchini mchezo ambao umekuwa ukiteka hisia kali za watu wengi huku ukiwa unafatiliwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania, Mchezo…