Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Riwaya Ya Kisasi Changu
Ilipoishia “Usiku wa siku hiyo ulikuwa ni mrefu kwa Wanandoa hawa kuungana pamoja, Alexander hakuamini kabisa kwamba mwanamke aliekuwa akiishi nae kumbe alikuwa anagrade za juu…
Ilipoishia ” Alexander nikifa,, jamaniii Mimi nakufa leo wakati Bado sijamaliza kazi yangu,, Alexander nakufa jamaniii.. Alexander akabaki kucheka tu inamaana yeye anakufa wakati yeye alimuwekea…
Ilipoishia “Minnie hakujua kama Siri yake imevuja baada ya kumkosa Kaka’ke ilibidi alale tu hana mtu wa kuongea nae sahii. Huku kwa Alexander baada kupata ujumbe…
Ilipoishia ” White House akazidi kucheka lakini kaka alietambulishwa kama Denis alimsukuma kidogo akirudi nyuma. “Aaa!! Sio hivyo Kaka’ngu hapa naenda kufanya kazi ngumu, ya kuua…
Ilipoishia ” Tobaa Alexander ndio akasikia maneno Yale yakamuumiza yaani mke wake alipaswa kuambiwa maneno Yale na mwanaume mwingine akataka kwenda lakini akasita baada ya kusikia…
Ilipoishia ” Baada ya kugeuka Minnie; Alexander akashituka ikabidi alale kwanza ikiwa ni karibu yake Ili afanye kumtizama kwa kumchungulia. Akawa anazisogeza nywele zake zilizomwagika usoni…
Ilipoishia ” Minnie ikabidi atoke nje akapata muda wa kuongea na Kaka’ke lakini Kaka’ke alimweleza kuhusu Alex mpaka akashangaa kumbuka Nick hakuifahamu kuhusu Minnie kuolewa lakini…
Ilipoishia ” Bright akachombeza baada ya kumuona. “” Basi wewe ndio Mfalme wangu. Karibu kwenye himaya yangu.” Minnie akazidi kuonesha furaha kwa shemeji yake, Bright akawa…
Ilipoishia ” Minnie ndo kwanza akawapita akisogea mezani nakuanza kumenya nanasi, wakazidi kumtizama jinsi ambavyo hana muda nao, Alexander ikabidi amsogelee karibu akisimama nyuma yake akimuongelea…
Ilipoishia “Minnie ndio akatulia Kuna kitu alikipata hii ikamfahamisha kama picha hii ipo nyumbani kwa white house huenda akifatilia ndio atapata ushahidi kamili wa kumfunga white…