Browsing: Pumzi ya mwisho

Ilipoishia “Sikia Dokta Simon, naomba hili jambo liwe siri Baina yetu.  Baba yangu asijuwe chochote wakati ambao tunatafuta Figo kwa  ajili ya kunipandikiza” Alisema Osman  “Naweza…

Ilipoishia “Usijali Jacklin nipo kwa ajili yako mara zote” alisema  Mosses na kunifanya nitabasamu kwa uchovu, shughuli ilikuwa  pevu na vile nimetoka kuumwa basi nilichoka sana…

Ilipoishia “Alipotoka Hospitalini Osman alikuwa mwenye mawazo na maumivu  makali sana, alipigiwa simu na Wazazi wake na kumtaka aachane  na mpango wa kutaka kutoa figo kwani…

Ilipoishia “Yaani Mama kisa tu ana hela basi umechanganikiwa kiasi  hicho, kweli umasikini mbaya sana Mama, ila usijali siku siyo  nyingi nitaanza kazi nitakufanyia kila kitu,…

Ilipoishia “Jacklin Mwanangu sijapata pesa kama unaweza kusubiria hadi  jioni sawa” Alisema Mama  “Usijali Mama nitarudi tu” Nilisema, sikuwa na pesa ya nauli  ya kurudia nyumbani…

Mvua ilikuwa ikinyesha, moyo wangu ulijawa na tabasamu kubwa  sana, nilijinyoosha ili kuianza siku mpya ambayo ilianza kwa  hali ya hewa kuwa nzuri yenye ubaridi. Niliposhika…